Raila aanza ziara ya kaunti ya Turkana


Kinara wa upinzani Raila Odinga amewataka wakazi wa kaunti ya Turkana kujitokeza kwa wingi na kupiga kura mnamo agosti 8 ili kuiondoa serikali ya Jubilee mamlakani. Odinga ambaye alizuru kaunti hiyo amesema kwamba serikali ya Jubilee imeshindwa kuboresha maisha ya Wakenya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Patient\'s intestine cut during Caesarean delivery at KNH

Story By Stephen Letoo
More by this author