Raila adai Jubilee itawatumia wanajeshi kuiba kura

Vigogo wa nasa wameahidi kuimarisha uhusiano kati ya Kenya na nchi za Afrika mashariki ili wakenya waweze kufanya biashara bila vizuizi iwapo watashinda uchaguzi mkuu ujao. Katika kampeni zao mjini Namanga kaunti ya Kajiado, Raila Odinga amesisitiza kuwa seriakli ina njama ya kutumia wanajeshi kuiba kura.

Tags:

raila odinga Kajiado Namanga NASA bisisl Nkedianye

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories