Raila ahimiza Uhuru akome kukashifu uamuzi wa mahakama

Vinara wa muungana wa NASA sasa wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kukoma kukashifu mahakama kufuatia uamuzi wa kufutilia mbali uchaguzi.

Tags:

Uhuru kenyatta raila odinga supreme court david maraga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories