Raila ahudhuria mikutano ya chama Mombasa

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameanza ziara yake ya siku mbili katika kaunti ya Mombasa na kufanya mikutano kadhaa na wanachama. Odinga amepangiwa kuhudhuria mkutano utakaofanyika katia uwanja wa Tononoka hapo kesho. Aidha polisi wamepiga marufuku mkutano wa Jubilee ambao ungefanyika sambamba na huo wa ODM katika uwanja wa Mvita Jumapili hii.

Tags:

raila odinga Mombasa odm Hassan Joho Tononoka grounds

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories