Raila ailaumu serikali kufuatia ukosefu wa unga nchini

Kinara wa NASA Raila Odinga sasa anamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuelekea nchini Ethiopia na kuagiza mahindi ili kutatua suala la ukosefu wa unga nchini. Odinga amesema kuwa mahindi yaliyoko Ethiopia ni ya bei nafuu ikilinganishwa na yale ya Mexico, na pia itachukua siku mbili pekee kuwasili humu nchini.

Tags:

raila odinga Ethiopia NASA maize Mexico mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories