Raila akutana na wawaniaji wa ODM wa Nairobi

Kiongozi wa ODM Raila Odinga amewataka wanaogombea viti mbalimbali kwa tiketi ya ODM kusahau hujuma za mchujo na badala yake kuelekeza macho kwenye kinyang’anyiro cha Agosti. Raila ambaye alikutana na walioshinda na waliobwagwa kwenye mchujo wa ODM alisikiza malalamishi kochokocho kuhusu mchujo lakini kusema kuwa baadhi ya mambo yaliyochangia kutokuwa na mchujo huru na wa haki yalisababishwa na wagombea waliovuruga shughuli hiyo. Haya ni huku kiongozi w awiper kalonzo musyoka naye akikutana na wagombea wa wiper huko Machakos.

Tags:

raila odinga Nairobi odm NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories