Raila amjibu Uhuru kuhusu hoja ya ushindi wake


Siku moja kabla ya kikao cha kupanga ratiba ya kesi dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa urais, muungano wa NASA sasa unaitaka mahakama ya juu kuishinikiza tume ya uchaguzi IEBC kufungua mitambo iliyotumika kupeperusha matokeo ya uchaguzi huo. NASA wametoa ombi hilo walipokuwa wakiwasilisha maelezo watakayotumia katika kusikilizwa kwa kesi hiyo wakiendelea kusisitiza kuwa uchaguzi huo ulikuwa na hila.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author