Raila aongoza kampeni huko Bondo, Siaya


Kinara wa upinzani Raila Odinga amesema kuwa NASA haitakubali uchaguzi iwapo tume ya uchaguzi nchini IEBC haitafanyiwa marekebisho. Odinga alizungumza alipozuru maeneo bunge ya Bondo na Ugunja katika kaunti ya Siaya huku kinara mwenza Moses Wetangula akizuru Trans Nzoia na kuhutubu ujumbe huo hu

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Stephen Letoo
More by this author