Raila aongoza sherehe za Mashujaa Kisumu


Kinara wa NASA Raila Odinga amewataka wafuasi wake kutolipiza kisasi dhidi ya maovu ya polisi. Odinga ambaye aliongoza mikutano ya NASA katika kaunti ya Siaya na Kisumu amesisitiza kuwa hakutafanyika marudio ya uchaguzi wiki ijayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Stephen Letoo
More by this author