Raila aongoza wana-NASA kuwapa pole waathiriwa wa Ghasia

Kinara wa NASA Raila Odinga amefutilia mbali shinikizo la mataifa ya kigeni yanayomtaka asitisha azma yake ya kuapishwa kama rais siku ya jumanne ijayo. Odinga ameyataka mataifa hayo kukoma kuingilia maswala ya kisiasa nchini huku akiwakashifu kwa kusalia kimya huku polisi wakitumia nguvu na kuwauwa wafuasi wa upinzani.

Tags:

raila odinga NASA

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories