Raila apinga mradi wa maji wa Itare


Ujenzi wa bwawa la maji la Itare katika msitu wa mau unaendelea hata baada ya kinara wa upinzani Raila Odinga kutoa tahadhari kuwa mradi huo utaathiri kaunti nane zinazotegemea msitu wa Mau. Kikosi cha runinga ya citizen hii leo kilizuru eneo la mradi huo na kubaini kuwa tayari kazi imeanza huku wenyeji wakitoa malalamishi yao kuhusiana na mradi huo wakidai kuwa bado hawajalipwa fidia baada ya kuhamishwa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By Stephen Letoo
More by this author