Raila asema hakuna uchaguzi bila mabadiliko katika IEBC


Muungano wa Nasa sasa unataka mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kuhakikisha kuwa maafisa wa IEBC waliohujumu uchaguzi wamechukuliwa hatua za kisheria. Raila Odinga aidha amesema kuwa Nasa haitakubali uchaguzi wa marudio iwapo IEBC haitakuwa imekamilisha mikakati ya uchaguzi huru na wa haki.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Stephen Letoo
More by this author