Raila asema kutakuwa na maandamano siku ya uchaguzi

Vinara wa muungano wa NASA wamesisitiza kuwa hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 26 licha ya IEBC kuendelea na maandalizi. Raila Odinga akiongoza mkutano wa NASA hapa jijini Nairobi amesema kuwa tume ya IEBC imepoteza imani ya wakenya

Tags:

raila odinga NASA Anti-IEBC demos

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories