Raila asisitiza hawana imani na IEBC


Kinara wa NASA Raila Odinga amesema muungano wake hauna imani tena na IEBC kuandaa marudio ya uchaguzi baada ya mkutano wao kukosa kuzaa matunda hapo jana. Odinga ambaye alikutana na wajumbe kutoka kaunti za kisii—ameongeza kuwa hakuna makubaliano yoyote kati ya nasa na IEBC.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Stephen Letoo
More by this author