Raila asisitiza wakazi kujiandikisha kwa wingi kupiga kura

Kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, ameanza zara yake ya siku mbili katika kaunti ya Narok kwa kutembelea mji wa Kilgoris ambapo amesisitiza umuhimu wa watu wa eneo hilo kujiandikisha kwa wingi kama wapiga kura.

Tags:

CORD WIPER raila odinga narok kalonzo musyoka Kilgoris

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories