Raila atajwa kwenye ripoti ya KQ

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amekanusha madai kwamba alihusika katika kuifilisisha kampuni ya usafiri ya ndege KQ hasa katika upande wa usafirishaji wa mizigo kama mmoja wa mwanahisa katika kampuni hiyo, haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika la Delloite.

Tags:

raila odinga kq

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories