Raila ataka IEBC kuangazia upya zoezi la uteuzi wa maafisa wa uchaguzi

Kiongozi wa NASA Raila Odinga hii leo ametoa wito kwa tume ya uchaguzi nchini IEBC, kuangazia tena zoezi la kuwateua maafisa wa uchaguzi watakaotumwa katika maeneo mbali mbali ya taifa hili kuzuia suala la kuhujumiwa.

Raila aliyekuwa katika eneo la Kibra alikokwenda kuhakikisha kuwa jina lake liko katika sajili ya wapigakura, sasa anapendekeza kuwa IEBC ihusishe vyama vya kisiasa katika zoezi la kuwateua watakaosimamia uchaguzi wa agosti nane mwaka huu.

Tags:

IEBC raila odinga IEBC Register

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories