Raila ataka polisi walioua ngombe Laikipia watiwe mbaroni

Kinara wa NASA Raila Odinga anaitaka serikali kuwafidia wafugaji kutoka Laikipia ambao ng’ombe wao waliuawa na maafisa wa polisi.

Tags:

laikipia livestock shot

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories