Raila atatenda uhaini akijiapisha, hukumu yake ni kifo – Muigai asema


Mwanasheria mkuu Githu Muigai ameuonya muungano wa NASA dhidi ya kutekeleza mpango wao wa kumwapisha Raila Odinga kama Rais akisema hatua hiyo itakuwa uhaini na adhabu yake ni kifo. Muigai amesema hayo katika kikao na wanahabari ambapo pia alikashifu kubuniwa kwa mabunge ya wananchi akionya kuwa wataotekeleza mpango huo watapigwa faini kwa utumizi mbaya wa mali ya umma.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Viusasa is now better, enriched with content and cheaper

Story By Sam Gituku
More by this author