Raila atilia shaka idadi ya wapiga kura waliojitokeza Alhamisi

Kinara wa NASA Raila Odinga ametoa mikakati mseto kupinga matokeo ya marudio ya uchaguzi wa urais, na kutangazwa kwa rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa kinyang’anyiro alichosusia. Kando na jumuiko la wadau, NASA inawaagiza wafuasi wake kususia bidhaa na huduma za kampuni kadhaa, na pia kupiga darubini vipengee vya katiba kuhusiana na mfumo wa utawala, ugatuzi na majukumu ya bunge.

Tags:

raila odinga Francis Gachuri NASA Wiper Hqs

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories