Raila awalaumu polisi kwa mauaji ya wafuasi wa NASA

Kinara wa NASA Raila Odinga amekashifu vikali maafisa wa usalama kwa utumizi mbaya wa mamlaka wanapokabiliana na wafuasi wa NASA. Odinga ambaye alihudhuria mazishi katika kaunti ya Siaya ya mmoja wa wale waliofariki kufuatia sokomoko zilizozuka wakati akirejea humu nchini kutoka marekani, amesema kuwa muungano wa nasa hautabanduka katika juhudi zake za kuimarisha demokrasia nchini.

Tags:

raila odinga NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories