Raila awarudia watu wa Kibra

Kinara wa upinzani Raila Odinga hii leo amesisitiza kuwa muungano huo utatangaza matokeo yake ya uchaguzi hata baada ya iebc kupinga suala hilo.
Odinga ambaye aliandamana na kinara mwenza Kalonzo Musyoka aidha wamemuonya kaimu waziri wa usalama Fred Matiang’i dhidi ya utumizi mbaya wa ofisi hiyo.

Tags:

raila odinga Kibra odm NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories