Raila: Hatutakubali uchaguzi kama mahakama itabadilisha sheria

Vinara wa upinzani hii leo wamekuwa na mkutano mkubwa Katika uwanja wa afraha Katika kaunti ya nakuru ambapo walihimiza wafuasi wao kujiandaa kujitokeza kwa wingi kupiga kura agosti nane. Kinara wa nasa raila odinga akitoa onyo kali kwa iebc kutoshiriki katika njama ya wizi wa kura. Stephen letoo na taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories