Raila, Kalonzo wauza sera za upinzani Kitui

Muungano wa NASA umekosoa uamuzi wa mahakama ya rufaa uliofutilia mbali shaka yao na kampuni ya uchapishaji ya Al Ghurair, ukidai kuwa Jubilee ina njama ya kuchapisha karatasi zaidi za kura ya urais ili kushiriki wizi wa kura.
Katika kampeni yao kaunti ya Kitui, vinara wa nasa Raila Odinga na Kalonzo Musyoka walitoa wito kwa wakazi kupuuzilia mbali ahadi za Jubilee na kusalia katika NASA.
Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, siasa za kaunti hiyo zilisheheni kwenye mkutano wa nasa.

Tags:

raila odinga kalonzo musyoka NASA kitui

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories