Raila na Kalonzo wapeleka kampeni Samburu

Kinara wa NASA Raila Odinga na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka wameikashifu serikali  kwa kutumia nguvu kutatua mizozo ya ardhi katika kaunti za Laikipia na Samburu. Vigogo hao ambao wamezuru kaunti ya Samburu hii leo wameitaka serikali kutoa fidia kwa wale ambao mifugo wao waliathirika.

Tags:

raila odinga kalonzo musyoka NASA Samburu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories