Raila na Ruto wafanya kampeni Bonde la Ufa

Vinara wa NASA Raila Odinga na gavana wa Bomet Isaac Ruto hii leo wamezuru kaunti za Kericho na Bomet na kuwahakikishia wafuasi wao kuwa watashinda uchaguzi wa Agosti nane katika kipindi cha kwanza.
Odinga ambaye alipigia debe manifesto ya NASA aidha ametoa ahadi kwa wakaazi wa kaunti hizo mbili kuwa serikali ya NASA haitabaguwa sehemu fulani nchini katika ugavi wa miradi ya maendeleo.

Tags:

raila odinga Isaac Ruto NASA Bomet Kericho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories