Raila Odinga akamilisha ziara ya Narok

Kinara wa CORD Raila Odinga hii leo amekamilisha ziara yake ya siku mbili katika kaunti ya Narok. Odinga ambaye alikutana na wajumbe wa chama cha ODM mapema hii leo, aliandamana na gavana wa Nairobi daktari Evans Kidero, gavana wa Nyamira John Nyagarama na baadhi ya wabunge. Katika ziara hiyo, viongozi hao waliikashifu serikali ya Jubilee kwa kukosa kutatua changamoto zinazowakabili wakaazi wa Narok, zikiwemo swala la ardhi na swala la msitu wa Mau.

Tags:

CORD raila odinga odm narok

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories