Raila Odinga akutana na wagombea wa ODM

Mgombea Wa kiti cha urais kwa tiketi ya Nasa Raila Odinga hii leo amekutana na wagombea wote wa chama cha ODM katika kaunti zote za Nyanza na kuwarai kuanzisha kampeni tosha ya kumpigia debe. Aidha mkutano huo ulitoa mikakati ya jinsi wanachama wa ODM watajitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Agosti nane.

Tags:

raila odinga odm

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories