Raila Odinga asema wafuasi wa NASA watasusia makampuni hasimu


Kinara wa Nasa Raila Odinga sasa anatishia kuwa wafuasi wake watasusia kutumia bidhaa zinazotengezwa na kampuni ambazo zilihusika katika makosa yaliyosababisha kuvurugika kwa chaguzi wa Agosti Nane. Odinga aliyekuwa akizungumza alipokutana na viongozi kutoka jamii ya wamaasai alisisitiza kuwa uchaguzi wa marejeo tarehe 26 mwezi Oktoba hautakuwa huru na haki iwapo tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC haitatilia maanani mapendekezo yao

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Gatete Njoroge
More by this author