Raila Odinga azindua kitabu chake


Kinara wa NASA Raila Odinga leo amezindua kitabu chake kinachoeleza maono yake kwa taifa, na changamoto ambazo ni kizingiti cha maendeleo ya Jamhuri ya Kenya. Kuu zaidi likiwa ukabila. Na huku Odinga aikizindua kitabu hicho na kuhudhuria mazishi ya Nkaiserry kinara mwenza Moses Wetang’ula aliongoza kikosi cha nasa kunasa kura za kaunti ya Marsabit.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Story By Francis Gachuri
More by this author