Raila: Serikali haina nia ya kutekeleza ugatuzi

Viongozi wa chama cha jubilee watawateua maafisa watakaokuwa kwenye  nyadhifa mbalimbali za uongozi wa chama hicho katika kila kaunti kabla ya uchaguzi rasmi wa viongozi wa chama hicho kufanyika mwezi novemba mwaka ujao. Huku jubilee wakijiaandaa, kiongozi wa odm raila odinga ameshauriana na gavana wa bomet isaac ruto kuhusu masuala ya kisiasa na kuikosoa serikali kwa kile wanachokitaja kama kuwanyima wananchi faida ambazo mfumo wa ugatuzi ulikusudiwa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories