Raila: Serikali imeshindwa kupigana na ufisadi

Kinara wa odm raila odinga  amesema maafisa  wa  tume ya maadili na kupambamana na ufisadi EACC ni wafisadi na hivyo hawawezi  kupambana na ufisadi nchini huku akilaumu serikali kwa kulegesha kamba dhidi ya kuangamiza ufisadi .

Raila aliyasema hayo katika kongamano la vijana katika kaunti ya nyamira na huku hayo yakijiri mbunge wa suba john mbadi hii leo amejitenga na madai yaliyotolewa na kiongozi wa wengi bungeni aden duale ya kwamba kampuni moja iliyohusishwa naye  ilihusika katika kandarasi za kibiashara katika sakata ya Nys…

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories