Raila: Tutaanza maandamano kesho kote nchini


Vinara wa muungano wa NASA hii leo wamefanya kempeni zao katika kaunti za Busia na Kakamega na kupuzilia mbali madai kuwa chama cha Jubilee kitazoa kura nyingi magharibi mwa nchi. Kinara wa NASA Raila Odinga akichukua fursa hiyo kuionya serikali ya Jubilee dhidi ya kuifanyia katiba marekebisho.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Stephen Letoo
More by this author