Raila, Uhuru waashiria kujiondoa kwenye mdahalo wa urais

Zikiwa zimesalia siku 33 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu, chama cha Jubilee na muungano wa NASA zimetoa taarifa kuashiria kujiondoa kwa wagombea wao wa urais kwenye mdahalo wa wagombea kiti hicho Agosti nane mwaka huu.
Hata hivyo, waratibu wa mdahalo huo uliopangiwa kufanyika Julai 10 wametoa wito kwa wagombea wote kushiriki kwa manufaa ya taifa.

Tags:

Linus Kaikai raila odinga Uhur Kenyatta Abduba Dida Presidential debate 2017 mdahalo wa urais

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories