

Kinara wa NASA Raila Odinga hii leo amekuwa katika kaunti ya Siaya na kuendeleza wito wake wa kuwataka wafuasi wa NASA kususia marudio ya uchaguzi wa urais. Kwingineko kinara mwenza Musalia Mudavadi naye ameendeleza kampeni hizo hizo katika kaunti ya Kakamega.
Video Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery