Raila: Wakenya 15 waliuliwa jana Nairobi


Kinara wa NASA Raila Odinga amelaani vikali serikali kwa ghasia ambazo zilishuhudiwa jana hapa jijini Nairobi baada ya makabiliano baina ya polisi na wafuasi wa NASA kugeuka vurugu na mauaji. Awali Raila alimtembelea mbunge wa Kathiani Robert Mbui katika hospitali ya Nairobi baada ya kujeruhiwa kwenye ghasia hizo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author