Rais aahidi kuimarisha maendeleo ya nchi

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kupigwa marufuku kwa leseni zote za wavuvi kutoka nchi za kigeni hadi pale watawahusisha wakenya katika kazi za uvuvi na maandalizi ya samaki. Rais amesema haya alipofafanua jinsi ya kuafikia malengo manne ya muhula wake wa pili wa kuimarisha sekta ya utengenezaji bidhaa, koboresha huduma za afya, kuboresha kiwango cha chakula kwa kila mkenya sawia na kuhakikisha angalau wakenya nusu milioni wanamiliki nyumba zao kufikia Mwaka wa 2022.

Tags:

leather industry Jamhuri Day Kenyatta second development agenda

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories