Rais achemka tena

Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa atazidi kuwaita wakososaji wake ‘wajinga’. Haya yanajiri siku chache tu baada ya Rais Kenyatta kupandwa na mori hadharani katika kaunti ya Turkana alipokuwa akitoa chakula cha msaada kwa wenyeji na kutamka maneno hayo hayo kwa wapinzani wake.

Tags:

Rais kenyatta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories