Rais aelekea Pwani kutoka Ethiopia

Huku zikiwa zimesalia siku kumi na tano kabla ya zoezi la kuwasajili wapiga kura kukamilika naibu rais William Ruto alivamia kaunti ya narok kuhamisha watu kujiandikisha kwa wingi na kuondoa ile dhana kwamba chama cha jubilee tayari kimefanya maamuzi kuhusiana na wagombea kutoka kaunti hiyo huku hayo yakijiri rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzuru eneo la kwale hapo esho ambapo anatarajiwa kutimiza ahadi yake ya kutoa vitambulisho kwa jamii ya 43.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories