Rais aingilia kati kutatua mzozo wa uongozi wa Jubilee bungeni


Rais Uhuru Kenyatta amelazimika kuingilia kati mzozo ambao umekumba chama cha Jubilee bungeni kufuatia hatua ya wabunge wanne kukiuka mikakati ya chama hicho katika uchaguzi wa kamati mbalimbali bungeni. Rais Kenyatta sasa yadaiwa ametaka kamati hizo ziandae uchaguzi upya kulingana na matakwa ya chama hicho huku akiwataka wabunge hao wanaongozwa na mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter kukomesha vitendo vinavyokinzana na matakwa ya chama hicho. Hatua ambayo baadhi ya wabunge hao wamepinga vikali

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NEWSNIGHT | Kalonzo quizzed over claims of support for Uhuru term extension

Story By Citizen Team
More by this author