Rais akamilisha ziara yake Magharibi

Rais Uhuru Kenyatta ameendelea na ziara yake katika eneo la Magharibi mwa Kenya ambapo leo amefungua miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti ya Busia. Ingawa ziara hiyo imetajwa kuwa yenye lengo la kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika eneo hilo, wachambuzi wanasema pia ina harufu ya kisiasa.

Tags:

Busia Rais Uhuru Kenyatta Busia-malaba road Magharibi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories