Rais akutana na wawaniaji kutoka kaunti 14

Rais Uhuru Kenyatta hii leo amewaomba wanasiasa wanaowania viti mbali mbali kwa tikiti ya chama cha Jubilee kuhakikisha kuwa wanaeneza mikakati wa chama hicho kwa wapiga kura wa maeneo yao. Rais amewasihi wanasiasa hao kuhubiri siasa za amani na umoja miongoni mwa wakenya.

Tags:

Jubilee Party Rais kenyatta wawaniaji

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories