Rais ampigia debe Joyce Laboso ugavana wa Bomet

Rais Uhuru Kenyatta amewataka wananchi kuwachagua magavana wa chama cha Jubilee ili kumaliza malumbano ya mara kwa mara kati ya serikali kuu na serikali za kaunti.
Rais anasema kuwa mashindano kati ya serikali hizo mbili yamehujumu maendeleo katika kaunti.
Rais aliwarai wenyeji wa Bomet wamchague Joyce Laboso kama gavana wa kwanza wa kike.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Isaac Ruto Bomet Joyce Laboso

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories