Rais aomba Wakwale wampe nafasi nyingine
Published on: July 18, 2017 09:03 (EAT)
Rais Uhuru Kenyatta amewaonya magavana ambao wanatumia vibaya mamlaka au mali ya umma kuwa mkono wa sheria utawanasa baada ya uchaguzi.
Katika kampeni za Jubilee huko pwani, rais amewakashifu magavana Hassan Joho na Amason Kingi kwa kulemaza maendeleo Mombasa na Kilifi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment