Rais aongoza hafla ya kuzindua vitabu vya kusoma

Rais Uhuru Kenyatta amezindua mpango wa kuwasilisha vitabu vya kusomea kwa wanafunzi wote wa kidato cha kwanza, darasa la saba na la nane wa shule za umma. Mpango huo ambao utagharimu serikali bilioni 3.2 umepunguza gharama ya vitabu kwa thuluthi mbili.

Tags:

Fred Matiang'i Free Secondary Education school books

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories