Rais aongoza kampeni Kiambu na Muranga
Published on: October 14, 2017 08:25 (EAT)
Rais Uhuru Kenyatta amepuuza ombi la kinara wa NASA Raila Odinga la kuitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati mzozo wa kisiasa humu nchini na kusisitiza kuwa uamuzi uko mikononi mwa Wakenya watakaopata fursa ya kumchagua rais wanayemtaka tarehe 26 mwezi huu. Rais Kenyatta alikuwa akizungumza alipoendeleza kampeni za Jubilee katika kaunti za Kiambu na Murang’a
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment