Rais aongoza kikosi chake Bomet

Kambi ya Jubilee imepeleka mikikimikiki yake leo katika kaunti ya Bomet kaunti ambayo gavana wake ni mmoja wa vinara wakuu wa muungano wa upinznai wa NASA na kama anavyotupasha Gatete Njoroge, Rais Kenyatta ametumia ngome hiyo ya Isaac Ruto kuwakashifu Wapinzani kwa kile alichokitaka kuwa ni ukosefu wa ruwaza na ajenda kwa taifa hili.

Tags:

JUBILEE Bomet Rais kenyatta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories