Rais aongoza taifa katika sherehe za Madaraka mjini Nyeri

Rais Uhuru Kenyatta ameliongoza taifa kuadhimisha miaka 54 tangu Kenya ilipojipatia mamlaka ya ndani ya kujitawala. Katika hafla hiyo iliyofanyika mjini Nyeri, Rais alitumia jukwaa hilo kupigia debe mafanikio ya serikali yake na kuwaomba wananchi kumpa nafasi nyingine wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.

Tags:

nyeri Madaraka Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories