Rais awataka magavana wawajibikie fedha za kaunti

Kongamano la magavana limefunguliwa rasmi leo na Rais Uhuru Kenyatta katika eneo la Diani, kaunti ya Kwale. Rais Kenyatta amewataka Magavana kuwachukulia hatua kali wahudumu wa serikali zao wanaohujumu ufanisi wa ugatuzi kwa kuendekeza ufisadi.

Tags:

ANNE WAIGURU salim mvurya COG josephat nanok Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories