Rais awataka wapinzani kuheshimu uhuru wa IEBC


Rais Uhuru Kenyatta amewafokea viongozi wa mrengo wa upinzani kwa kutishia uhuru wa tume ya uchaguzi nchini na idara ya mahakama. Kenyatta anadai vinara wa NASA ni wanademorkasia ghushi, huku akiwataka kuiruhusu IEBC kusimamia uchaguzi mkuu bila kuingilia utendakazi wake. Naye naibu wake William Ruto akiwapa changamoto wana NASA waamue iwapo ni wachezaji au waamuzi, kwenye kinyang’anyiro cha mwezi Agosti.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Francis Gachuri
More by this author